Darassa Ft. Winnie - Nishike Mkono (Official Video)
HTML-код
- Опубликовано: 6 апр 2025
- Song: Nishike Mkono | Artist: Darassa Ft. Winnie
Darassa Other Video Songs:
Hasara Roho: bit.ly/Hasara_Roho
Muziki: goo.gl/IEJSG9
Too Much: goo.gl/zyynXL
Kama Utanipenda: goo.gl/MOhOYx
Heya Haye: goo.gl/kywYLi
Sikati Tamaa: goo.gl/478PZ9
Tunaishi: goo.gl/xgfsPB
Sio Mbaya: goo.gl/BK82mg
SUBSCRIBE Mziiki For Best African Music | bit.ly/MziikiTube
Like us on Facebook: / mziiki
Follow us on Twitter: / mziiki
Circle us on G+: plus.google.co...
Instagram: / mziiki
Stream music free at our official Website: www.mziiki.com
Visit MziikiTube channel for unlimited entertainment: / mziikitube
Watch #Darassa latest music video "Hasara Raho" ► bit.ly/2pVSRFo
Darassa @Umepotea kaka wapi nyimbo zingine??
Kwel mi nakuunga mguu
😋😋😋😍😍😍
Nilikujua ju ya my late bro hii ngoma kila siku hunipa nguvu ya kila siku kuna kitu ina Miss nigependa kukua kwa show yako ata kama nimoja uki kuja kenya just ku keep my bro dream
Huu wimbo back in time uli ni inspire kukaza kutoka unknown to known. Big up bro
Damn, ndo mwanzo naiskiza bonge hili la hiti 2024! Moto sana Darassa 🔥 🔥 🔥
Niko hapa hadi leo 2024 na still bado hii massage ya huu wimbo ni very strong
Kweli man
Mwili kama una vidonda,ukinigusa tu naumia,😢 kichwani mizigo wa dhambi gunia kw magunia, dunia sinia pakua unachoweza..love from kenya 🇰🇪
Still here alive 2025 🙏🏽 like to support
Nikiangalia hii ngoma nakumbuka mbali wangapi 2023😢😢😢 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Nimekuja hapa baada parachichi FM ya dullah the king kunikumbusha way back🔥🔥🙌
Anyone in 2024, I miss those days
🎉🎉🎉🎉1sep 2024
Nobody see me crying, nobody on my side😢 2025
Kama kuna nyimbo zako hua napenda kuziskiliza hiii hua naipenda snaaaa
Usitamani kiatu changu ukikivaa hautembei
Na ikiwa siku mbaya ndo masaa hayasogei damnnn
'Babaake na athumani alikufa mvuvi wa pweza, wana utajiri wa imani maskini wa kifedha'
Washanichimbia kaburi wanizike nahema
Washakata miti ya vivuli mifereji ya neema
Darasa MUNGU akupe maisha marefu inshallah
bado naiangalia sana hii video kuanzia mistar,beat,chorus..na video vyote vipo lite.,,.usipotoka maisha yanakutokea....CMG forever..
2023 and forever listening. Big up darasa
Ila jamn watu tunatoka mbali sana ..huyu ndo alikua Darassa kwel ..Gonga like kma unangalia hiii 2024--2025
Im here march 2025. Now nyingine inahit tofauti kichwan mwangu😢
Ngoma zako Zina zidi kutupa speed ya ku hustle . Aminia Darasa .🔥no bady see me cry
#Bado 2024 tuko nayo gonga like kama tupo pamoja tz🇹🇿🇹🇿💔💔💔
unaweza kukuta unayemuamini ndiye anayekuwekea sumu...hawana alama binadamu anayekuja kukuhukumu
Napataga mawazo chanya kutoka kwa darasa kwer kioo cha jamii
Nani anatazama hii video mpka leo ❤️❤️❤️
2023 kama upo nayo unaisikiliza gonga like hapa
Sometimes tunaishi nje ya Malengo tuliyojiwekea. Ninatamani kuwa Mtoto kibaya haiwezi kuwa, Usitamani viatu vyangu ukikivaa hutembei ✊
Hii verse kali sana
@@TheAlesry mnoooo 💞✊
Baada ya Miaka 5 Mbele, Wini anampa Featuring Darassa kwenye ngoma inayoitwa 'I DO'... What a Legend..! Marvelous..! 🔥🔥
Legends never die🔥🔥🔥
Darasa na Winnie walitulia sana kutengeneza hili goma 🔥💥🏆🤟🏽
Hello people !! Here again 2021 we show love to our dude Darasa respect & much love❤
Damn my jam still 2025🔥
I'm here 👋👋
Unajikuta uko peke yako Giza kubwa kwenye Mtaa, huoni ndugu wala jamaa uliokua nao Jana Bar 😞
Mwili umechoka, naforce tu kuendelea 😩
Dunia sinia, pakua unachoweza 😩
huu wimbo haujawahi chuja kwangu
"dunia sinia pakua unachoweza"
"maji yakiwa shingoni ndo nakumbukaga dua"
✊✊ these lines hit harder
Huyu winnie nampenda sana , sai na ADO ndio ananiumiza roho, yani darassa alimfanya nikamjua...sai majirani wananiambia wanakumbuka nikimsifia akipiga hii ngoma.. i wish imfikie
Ado na Sai ndiyo kina nani hao Mkuu?
this song right here got me out of depression
Life likuchape halafu unasikiliza hii ngoma,machozi kutoka ni uhakika😢
😅😅 sana tu
Ngoma kaliii ,nasikilizia Leo siku nzma
Umetoka mbali sna darasa mpka kwenye "muziki" kwl kila kinawezekana ni jambo la kumuomba mungu
Nilijua utatusua siku moja.big love class
Hii nyimbo nikiisikiliza huwa siichoki na inanifanya nataka kulia.............. Drasa unajua
Wimbo wangu pendwa wakati wote🎉🎉
DARASA unaweza komaa
No body by my side Mungu nishike mkono 2024
Hi ngoma naielewa sanaaaa
Kifuani kama moto moyo wangu ,maumivi ninayohisi utakiwi kuyaju
Milele unahit na utahit.
Daaah mpaka leooo iiih ngomaaa naisikilizaa sichoki inamawaidha mpaka 2050
Ngoma Kali noma Sana ila jamaa hujawahi kuniangusha kwenye ma song
Nimeifuata kuitazama 2025. mwenzangu nani?
Ngoma sichoki kuiskiliza👏👏👏
I discovered Darassa from this song.
Wanaomdiss darassa hawamjui vizur ata wakiandka jina hawawek double s...king of all times
2025 nani yupo huku
Wimbo mzuri sana jamani. Sio kama zile za kina diamond hazieleweki ila Nyimbo hii ni real life ambayo wengi tupo nayo 😍💞🤩
This song remind much about 2012...used to be anthem back then.
2022 still the same feeling Dope hit..
Winnie yuko wapi?
Dah...nmekumbuka nikiwa katavi mpanda Sina kazi.... no body see me cry
02.06.2020 who watch it
Like 👊🏾
This song deserves more views.... lyrics are on another level 💯
2023 still here!!!
Darassa this was 🔥🔥🔥
nimerudi Tena 2025 one fire 🔥 ♥️ 😍
Mwili Umechoka, Nafosi tu Kuendelea
Mpaka naogopa, Wapi naenda Kutokea
Hata nikiokoka, Nani atae niletea
Nisipotoka, MAISHA yananitokea.
2024 Put your hands Up
Hazina iliyojificha sasa imefichuka!
wimbo huu utainuka hivi karibuni.....'muziki' itaziinua zote hizi my brother
khaswaaaaaaa
its a blessing
here still 29/8/2021 darassa the best
Where is this Dude... We miss his Music a lot..
Thanks for this peace of art...Inanipa nguvu ya kutokukata tamaa..Asante
Dah darasa huku ndio kwako nice song
nyingine hii hapaa
jidanganyee
Nipo kwenye naangalia kati ya goma zangu pendwa za hip-hop
2020? Anyone!
Here we are
And what about 2022,April 7th
Am here ✌✌💪💪💪
Here i am 2022
2022 anyone
Hii nyimbo huwa inanitoa machozi, daah
ikiwa siku mbaya ndo masaa hayasogei
Umeipiga mwaka gani bro darasa mkali....🇹🇿🇹🇿🇹🇿
2013
2012 hii Ngoma ndo ilitoka
Nisipo toka maisha yanitokea!!
God bless all following this track🎉
Bro!! Rudi huku bana🙏 huu ndio mziki wako.hii nyimbo ilikua inanitoa machoz kila nilipokua naisikiliza. Hili song litaishi milele n ngoma pekee nayoikubari katika songs zako zote .
2025..Anyone? 👀
mungu nishike mkono nobody is on myside congrats Darasa nyimbo tamu hiyo
Kiukweli hii ngoma naipenda sana bg up bro darasa
Hii si wimbo tu bali dua shukran darasa
2022 Darassa kwenye hii ngoma uliwaza nini bro umetisha 💪💪👍
What a legend.......viva Darasa
Nani yupo hapa 2024
Ikiwa ni siku mbaya ndo maa hayatembeii......
Darassa the legendary 🎉🎉🎉🎉
Hii nyimbo itaishi milele
Duh hii nyimbo ni so powerful Wallah.
Daah huu wimbo sijawahi acha kuupenda
Nakumbuka mbaliiiiiiiiiiiiiii
2024! ! Anyone?
Here we go
Yeeeaah u know watcuuup🔥👊🏾
P Diddy Kashatoka😂
This is the day I knew this guy was great
still my favourite till today.
Tar 1 wenze 1 2025 nani anaskiliza...
Nasiliza Bado mwaka2025 ngoma kali sana ina ishi
Hiphop ilipokuwa hip-hop
Brother hili ni bonge LA ngoma
Nyimbo pendwa all time kwangu
Damn! Dude killed it!
Nakubal Xna hii ngoma until now Allover
Nani anaitazama hii video Leo September 2024
unyama mwingi daresay 🎉🎉❤
2024 still love this song ❤️
december 2020 bado naiskiliza gonga like kama unaikubali kam mim.👍
Umeniwahi kidogo